vitendo vya rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Makamu wa Rais asisitiza jeshi la polisi kushirikiana na TAKUKURU kudhibiti vitendo vya rushwa uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ili kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo...
  2. JWTZ wafanye uchunguzi kubaini vijana ambao wamepewa nafasi za kujiunga na JWTZ kwa kutumia kikaratasi maarufu kama "Memo"

    Juzijuzi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilitoa taarifa kwamba wanapitia majina ya vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na jeshi hilo. Itakumbukwa kuwa mwezi April mwaka huu JWTZ walitoa tangazo la ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu kuanzia sekondari hadi elimu ya juu. Moja ya...
  3. WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

    CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
  4. LGE2024 Kagera: TAKUKURU yatoa onyo kali kwa wagombea na vyama vya siasa dhidi ya vitendo vya rushwa katika Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Wakuu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera imewaonya wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kutojihusisha na vitendo vya rushwa. Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Kagera, Ezekia Senkara...
  5. K

    UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…