vita ya iran na israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Israel yadai kumuua Kamanda wa Iran, Alireza Tangsiri aliyetoa agizo la kufungwa kwa mfereji wa Hormuz

    Vyombo vya habari nchini Israel, vikinukuu afisa mmoja wa serikali, vimeripoti kuwa Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Alireza Tangsiri ambaye anadaiwa kuagiza kufungwa kwa Mlango-bahari wa Hormuz (Strait of Hormuz) ameuawa katika shambulio la...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mara baada ya Iran kutishia kuretaliate kupiga miundo mbinu ya nishati israel na mashariki ya kati hatimaye Trump aufyata

    Maneno ya aliyekuwa mkuu wa CIA ya kwamba D.Trump hana mipango madhubuti kuhusiana na Iran sasa yanatimia,juzi Trump alitishia kupiga miundo mbinu ya umeme ya Iran endapo hatoweza kuachia mlango wa Hormuz. Haikupita siku ambapo hio jana kamanda mkuu wa IRGCC alijitokeza na kusema endapo Iran...
  3. JamiiForums Tanzania Meli ya mafuta ya Thailand yashambuliwa na Iran

    Meli ya mizigo ya Thailand, Mayuree Naree, imeshambuliwa Jumatano ilipokuwa ikipita katika Strait of Hormuz baada ya kuondoka katika Khalifa Port nchini United Arab Emirates. Kwa mujibu wa Royal Thai Navy, wanamaji 20 wameokolewa na jeshi la wanamaji la Oman huku juhudi zikiendelea kuwatafuta...
  4. JamiiForums Tanzania Trump: Iran ilikuwa inajipanga kutushambulia tukaiwahi

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani na Israel zililazimishwa kuishambulia Iran ili kujilinda kwakuwa Iran ilikuwa inajiandaa kufanya mashambulizi . Soma Waziri wa Ulinzi wa Israel asema jeshi la nchi hiyo litaua mrithi yoyote wa Ali Khamenei Trump amesema “Kutokana na jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…