Ukraine imepokea miili 1,212 kutoka Urusi ya wanajeshi wake waliouwawa wakati wa vita vilivyodumu miaka mitatu kati ya majirani hao wawili.
Wanajeshi hao wanadaiwa kuuwawa katika mapigano kwenye jimbo la Kursk pamoja na maeneo mengine ya Ukraine ya Kharkiv, Luhansk, Donetsk, Zaporizhzhya na...