Matokeo kutoka kliniki binafsi na za umma nchini Malawi yanaonesha kuwa takribani 80% ya wanaume wanaofanya vipimo vya DNA kutokana na mashaka kuhusu uaminifu wa wenzi wao hubainika kuwa si baba wa kibiolojia wa watoto wanaowapima.
Hata hivyo, wataalamu wa afya na sheria wameonya kuwa takwimu...