Kiongozi wa kijeshi wa Madagascar na Rais, Michael Randrianirina, ametangaza Alhamisi kuwa mtu yeyote atakayeomba kuwa waziri katika serikali mpya atalazimika kufanyiwa kipimo cha mashine ya kugundua uongo (polygraph) ili kuchunguza uwezekano wa rushwa.
“Tutaweza kujua nani ni mfisadi na nani...