PROJECT PROPOSAL YA KITAIFA
**KAMPENI YA KITAIFA:
“TUINUE VIPAJI KWA TAIFA LETU NA MAENDELEO YETU”**
Wizara Husika:
Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
1. UTANGULIZI WA KIMKAKATI
Tanzania ni taifa lenye idadi kubwa ya watoto na vijana wenye vipaji vikubwa vya...
Awali ya yote nipende kutoa pongezi kwa timu mbalimbali za michezo pamoja na wawekezaji wake hapa Tanzania( Simba na Yanga) zimejitaidi kadri ziwezavyo kulitangaza soccer la Tanzania kwa kila namna ziwezavyo na zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa saana, japokua timu hizo zinafanikiwa kutokana na...