Umoja wa Ulaya umekiri kuweka vikwazo vya kifedha kwa serikali ya Tanzania kufuatia Uchaguzi wa 2025 ambao wadau wengi walikiri kuwa ulidhoofisha demokrasia.
Katika mahojiano ya kina na ya nadra, Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau, alithibitisha kuwa umoja huo tayari...
GEVEVA:
UN Human Rights Chief Volker Turk will hold a press conference on 10 December, at 10:30am CET, addressing human rights challenges around the world.
Mtakumbuka 11 November 2025 Turk alisema,
Tanzania Election-related killings and other violations must be investigated - Volker Türk...
Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji baada ya uchaguzi na kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini Tanzania, ikijumuisha kesi ya kiongozi wa upinzani aliye kifungoni Tundu Lissu
Bunge la Ulaya,
– likizingatia Kanuni za 150(5) na 136(4) za Kanuni zake za Utaratibu,
A. ikizingatia kwamba...