Wakuu,
Baada ya maandamano vifo vingi vimetokea vikisisabishwa na risasi za polisi. Wachache wamefanikiwa kupata miili ya wapendwa wengi huku wengi wazikinga ndugu zao kwa kutumia nguo, viatu na vitu vingine vya wapendwa wao kutokana na kunyimwa miili hiyo.
Tutumie uzi huu kama rekodi ya wale...