Moja kwa moja kwenye mada,
Kama wewe ni kijana unayejitafuta na unatafuta biashara ya kuanza kwa mtaji unaoweza kuimudu, biashara ya vifaa vya baiskeli inaweza kuwa fursa nzuri sana — hasa kwa vijana wa mikoani.
Kwenye maeneo mengi ya mikoani, baiskeli si kwa matumizi ya burudani tu bali ni...