Wakuu,
Baada ya kuchoshwa na usumbufu wa laini moja ya mtandao (kwa sasa sitaji jina la kampuni husika na laini hiyo), ambayo nimeisajili kwa taratibu rasmi zilizoelekezwa na TCRA; ninafikiria kwenda kuondoa/kufuta taarifa zangu nilizotumia kusajili laini hiyo kwenye kampuni mtandao husika...