Nimemuona mtangazaji mmoja anasema “ni bora kufagia sakafu za mbinguni kuliko kusimamia korido za kuzimu” ikiwa ni ujumbe maalum kwa vijana na wote wanaotaka kuiona Tanzania mpya.
Tubadilishane mawili matatu;
Tabiri habari kubwa itakayotikisa mwezi Disemba na tutakayofungia nayo mwaka.
Tupia...