hivi karibuni matapeli wa kimaraifa wameingia sokol la hisa la dar es salaam , wanakuja na kama ka advert kwenye insta, huwezi ona hiyo account, inakuwa ni advert tu , ukiingia huko umetapeliwa na kudukuliwa.
Wanajifanya wanakufundusha lakini ni utapeli mtupu.
Kama wewe unataka kujifunza na...