uwakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utapeli wa kisiasa wa CHADEMA: Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania

    Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu. Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
  2. JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Bado sijarejeshewa Uwakili

    ======= "Kwa nyote mnaoniuliza kama wamenirejeshea uwakili: JIBU NI: HAPANA! Hukumu ya Feleshi kuniSUSPEND bado ipo IMARA japo kuwa: 1. kaniSUSPEND bila ya kunipa HAKI ya kujitetea. Tangu 2019; 2. Suspension ilikuwa temporary na Hakuna temporary order inayodumu zaidi ya miezi 6! 2019...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…