uvccm iringa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini: Vijana tujitokeze kwa wingi uchaguzi 2025, tupuuze propaganda

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana kushiriki katika uchaguzi mkuu utanorajia kufaNyika Oktoba 2025 na kuupuuza wito wa chama pinzani unaoshinikiza kutoshiriki katika uchaguzi huo. Kupata matukio na...
  2. PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini awataka vijana bodaboda kuwatetea viongozi wa serikali wanaposemwa vibaya

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele...
  3. PreGE2025 UVCCM Iringa vijijini yatembelea miradi ya maendeleo mboliboli

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, leo tarehe 3 Aprili 2025, Umefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata ya Mboliboli, tarafa ya Pawaga, Wilaya ya Iringa. Ikiongizwa na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…