Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...