uteuzi wa mawaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  2. CV za Mawaziri wa Afya kutoka nchi baadhi za Afrika

    Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya nchi mbalimbali Africa. Nilipomaliza kuisoma hiyo document kwanza nikajiuliza, ni nani aliyeandaa doc...
  3. Kuna manufaa makubwa, tukiiga mfumo wa uteuzi wa mawaziri unaofanyika nchini Kenya

    Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe. Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni, Ili apitie katika "chekecho" ikiwa nafasi hiyo anastahili na iwapo wabunge hao wataridhika kutokana...
  4. Utaratibu wa Mawaziri kuteuliwa kutoka miongoni mwa Wabunge kunainufaishaje nchi?

    Kwa nini CCM iliupendelea huo utaratibu? Labda una manufaa kwa nchi? Naamini kungeitishwa kura ya maoni, wananchi wengi, mimi nikiwemo, wangependelea utaratibu wa mawaziri kutokuwa wabunge. Utaratibu huo ni kuuishi dhana ya kila muhimili kujitegemea.
  5. S

    Mfumo wa kuteua Mawaziri una kasoro unabagua makundi kama ya wafanyabiashara, wenye viwanda na wakulima, wafugaji na wavuvi

    Wizara ndizo husimamia sera na mipango husika kwa ajili ya maendeleo. Uteuzi wa mawaziri kwa sasa umejikita sana kuzingatia mikoa, makundi maalaumu kama vijana, wazee ,akina mama na walemavu na wasomi na watoto na ndugu wa vigogo waliopita au waliopo. Wafanyabiashara wakubwa hawamo wakulima na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…