Jumla ya malalamiko 265 kati ya malalamiko 287 yaliyopokelewa na Mamlaka ya udhibiti wa usafiri Ardhini LATRA yametatuliwa kwa mwaka 2024/25 (mpaka kufiki mwezi march 2025) ikiwa ni saw ana asilimia 92 ya malalamiko yote.
Kwa mwaka wa 2024/25 ndio umeongoza kwa kutatua malalamiko mengi zaidi...