Niaje wakuu. Natumaini mko poa.
Unapofungua uzi kwa sasa hapa Love Connect ni kawaida sana kutukanwa, members kukukejeli kwa vigezo vya mtu unaemtaka au vigezo ulivyo navyo.
JamiiForums ni uwanja wa kejeli,dhihaka na matusi, kuna utani ndio sikatai lakini kwa sasa sio utani watu wanatafuta pa...