Habari gani Wakuu
Ngoja niende kwenye maada yangu. Kuna mdada mmoja hivi wa Graduate wa CBE -Dodoma nilikutana naye rainbow Dodoma so nikawa nimechukua contacts tukawa tunawasiliana. Baada ya kuwa nimemzoea nikamwelezea vile najisikia juu yake, dada akatolea Nje. Nikakubali tukawa tunawasiliana...