Ndugu zangu wababa na wavulana wenzangu,
Nimekaa nikafikiri, nikasema ngoja niwape ukweli bila chenga – KUOA ni raha, ni utamu, ni burudani ya moyo na mwili, ila kwa wale walio tayari na wanaelewa maana ya kuwa na mtu wako wa kudumu.
Na sasa ngoja nizungumzie kwa staha lakini bila kujizuia –...