Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii.
Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi ya kati na bia 3. Nilipata vaibu kinoma. Pembeni alikuwepo mdada fulani anacheza si nikajichanganya...