Habari za muda huu wakuu,
Leo muda huu nimekumbana na visa vya mauza uza wakati nipo katika usingizi ilikua kama ndoto lakini ni ndoto ya uwazi yani nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa yanatokea nayaona kwa uhalisia huko huko usingizini na ndotoni,
Ilikua ni mapigano makali na mazito...