Mbunge wa Jimbo la Katavi, Thomas Maganga, ametoa wito mzito bungeni akitaka hatua za dharura zichukuliwe kuokoa watoto na kizazi kijacho dhidi ya wimbi la mmomonyoko wa maadili na vitendo vya ushoga. Maganga alionya kuwa hali ni mbaya akisisitiza kuwa ikiwa kizazi cha sasa kimeshindikana, ni...