Habari wanajamvi?
Watanzania wengi hawapendi sana ushauri kitaalamu kuhusu kuendesha au kuanzisha miradi yao au biashara zao!! Angalau kidogo kwenye mambo ya sheria muamko upo, na kwenye mahesabu angalau, lakini mwambie mtu andika au andikiwa huo mradi/biashara au shauriwa kabla hujaanza au...