Asalamaleku wakuu!
Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni.
Kama mnavyojua sasa hivi Kuna vuguvugu la "no reforms no election" na mimi ni mmoja wa mtu ninayeunga mkono hii movement na katika...