usambazaji umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Zaidi ya shilingi bilioni 107 zatumika usambazaji umeme vijijini Simiyu

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetumia takribani shilingi bilioni 107.36 kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote 474 vya Mkoa wa Simiyu. Kapinga ameyasema hayo leo Juni 18, 2025 wakati akitoa tathmini ya hali ya upatikanaji wa umeme Mkoa wa Simiyu...
  2. RC Kanali Patrick Sawala: Serikali imefikisha umeme katika Vijiji vyote 785 vya Mtwara

    Ni furaha na nderemo kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanikiwa kufika umeme katika Vijiji vyote 785 katika Mkoa huo. Akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika Kijiji cha Makome A ambacho ndio kijiji cha mwisho kuunganishwa...
  3. Dodoma: RC Senyamule amempokea rasmi, Mkandarasi wa kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10)

    Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, Mkandarasi Kampuni ya DERM Group (T) Ltd; Kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10) ya mkoa wa Dodoma, Mradi unaotarajiwa kutekelezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…