Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua"
Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na Viongozi tena kwenye mkutano mkuu bila ya uoga Manzoki alitamka atakuja Simba SC kukiwasha,
Haikua...
Habari za muda huu wapendwa
Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli?
Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga mwehu
Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
Simba ya sasa sio ile ya msimu uliopita. Kwa viwango vya wachezaji wapya wa Simba halafu eti Feisal ajiunge nao, nadhani Kocha angemuombea aruhusiwe kwenda likizo msimu mzima.
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC