usaili wa utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

    Habari wadau, samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa waliofanya usaili wa Utumishi hivi karibuni

    Habari za leo wadau wa JF. Mimi ni Mwalim wa Kingereza Ngazi ya Shahada. Naomba uzoefu kidogo kwa wale waliofanya usili wa Utumishi wa online wa hivi karibuni. Je, 1. Maswali ni ya kuchagua au ya kujieleza? 2. Maswali ni ya kulenga zile duties zilizoandikwa kwenye Tangazo? Asanteni sana...
  4. JamiiForums Tanzania Utumishi hii sio sawa, kuna watu mmewanyima haki yao

    Kuna interview zimeanza Jana Kada ya afya ila Kuna baadhi ya wasimamizi sijui ni kwa maksudi ama bahati mbaya wameamua kuharamisha mchakato mzima wa usahili. Natolea mfano kituo cha Zanzibar Unguja kuna watahiniwa wameruhusiwa kufanya interview wakiwa hawana leseni za MCT Bali Wana leseni za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…