JE, BODABODA WAMESHINDIKANA?
Katika miaka ya hivi karibuni, usafiri wa bodaboda umeota mizizi katika maeneo mengi ya Tanzania, hususan mijini na vijijini. Kwa watu wengi, bodaboda imekuwa mkombozi wa usafiri – ni ya haraka, hupenya maeneo magumu, na inapatikana kwa urahisi. Hata hivyo, pamoja...