Nguo nyeupe kuwa na doa kama la nyanya, matope au umejimwagia soda huwa inakera sana. Lakini usiwe na wasiwasi mimi hutumia mbinu hizi kuondoa madoa bila stress. Twende pamoja;
Kwanza epuka kutumia maji ya moto kwenye nguo nyeupe zenye madoa yenye protini ndani yake (kama damu, jasho, maziwa...