Kufuatia taarifa kwa umma iliyotolewa na Jeshi la Polisi 07/11/25 na kutaja orodha ya watu 10 ambao linawasaka ili kuwakamata katika orodha hiyo akiwepo Godbless J. Lema, leo 08/11/25, Godbless Lema amekamatwa maeneo ya USA River, Arusha akiwa na dereva wake na ameingizwa kwenye gari aina ya...