Nyota wa zamani wa Yanga Sc na timu ya Taifa,Taifa Stars, Ally Mayay Tembele ametangaza nia ya kushiriki uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu kama mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, 2025 Jijini Tanga.
Mwakilishi wa nahodha huyo wa zamani wa Stars atamchukulia...