Usingizi unapaa nanga mpaka niwawaze wanawake wazuri wazuri wenye mikia au maziwa kama yale ya kwenye video za dawa za macho.
Humu kumejaa watalamu, naomba mnipe ushauri ni kwanini?
Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde.
Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...