Hii ni kauli dume sana, rafiki yangu kanitamkia, sikujua kama anafahamu hilo..
Habari za majukumu wakuu.
Nimeona niandike au kushare kidogo juu ya wema rafiki yangu amenifanyia na anaendelea kunifanyia.
Ni rafiki yangu tulikutana Advance chuo kila mmoja alisoma tofauti: niseme jamaa angu...