Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na majukumu ya Bunge, mbunge hana mamlaka ya kukusanya kodi, kuidhinisha matumizi ya fedha moja kwa moja, kuajiri watendaji au kutekeleza miradi. Majukumu yake makuu ni:
Kuwakilisha wananchi;
Kutunga sheria;
Kuisimamia na kuishauri Serikali;
Kushiriki kujadili...