Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya amesema gharama za kupanga na kupima kiwanja kimoja katika maeneo yaliyoendelezwa zimepunguzwa hadi Shilingi 130,000, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa gharama kwa wananchi.
Mhe. Mmuya amesema hayo leo Agosti 31, 2026...