Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Upendo Nkone, amemuomba radhi Mwimbaji mwenzake Martha Mwaipaja kufuatia kauli aliyoitoa kwenye moja ya mahojiano, akidai kuwa aliwahi kutishiwa Maisha kupitia simu.
Sakata hilo limeibuka leo katika mitandao ya kijamii, baada ya Martha Mwaipaja kuchapisha video...