Katika soka letu Tanzania hasa bara ukiacha inshu ya upangaji matokeo kuna hili tatizo la USHOGA linakuja kwa kasi sana.
Soka letu limekua la hovyo sana ukiondoa rushwa, match fixing, upendeleo kuna janga la USHOGA. Wachezaji tunao wazuri ngazi za chini ila kikwazo ni kuja timu za Premier...