Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.
Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea...