Wakuu.
Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania, hali itakuwaje? Na msimamo wao utakuwa upi, ikizingatiwa kuwa Rais anatoka hapa kwetu na tukio...