Licha ya kuwa na matangazo mengi ya wanasiasa kuwa bwawa la Nyerere limenza kazi lakini Suala la umeme mkoa wa katavi imekuwa changamoto kubwa Sana
Kila siku umeme lazima ukatike kila siku mafundi wako site unashindwa hata kufanya shughuli za kimaendeleo
Niliweka Mayai kama 100 hivi kwenye...