"Ulemavu wa akili katika siasa hujidhihirisha pale ambapo kikundi cha matusi (wanaharakati uchwara) wenye kujifanya werevu kwa kuchonganisha wananchi na mamlaka, wakivuruga mshikamano kwa maslahi binafsi. Hawa si wanaharakati wa mabadiliko, bali ni mawakala wa mgawanyiko na machafuko wanaoishi...