ukuaji wa mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Msaada changamoto za Ukuaji wa mtoto wa kiume aliyekunywa maji machafu wakati wa kuzaliwa

    Habari wana JF shemeji yangu alijifungua mtoto wa kiume kwa upasuaji, inavyoelezwa ni kuwa mimba yake haikuwa na shida yeyote ila shemeji tu alikuwa hayupo strong enough na kushindwa kusukuma mtoto dakika za mwisho hali iliyopelekea ufanyike upasuaji haraka kuokoa uhai wa mtoto na mzazi...
  2. Kiyumbi Yuga

    Bado sijapata suluhisho la Mwanangu kuongea

    Habari wadau,nilipost Uzi kuhusu mwanangu wa Miaka 4 ambae nilieleza kuwa haongei,ni kupiga makelele tu,ana sifa zifuatazo. 1. Anasikia ila ukimuita hakuangalii Wala hashituki,lkn ukiweka mziki asioupenda mfano kwenye simu ama TV ana kasirika na kukufuata au kukupa rimoti au simu uongeze sauti...
Back
Top Bottom