Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika.
Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii nchini ,ni wazi Tanganyika yetu ni miongoni mwa mataifa yenye watu, wavivu, waoga na wabinafsi...