Nipo maeneo fulani hivi nimepumzika room baada ya safari ndefu. Sasa hii sehemu nje kidogo kuna ka-pub. Kuna wazee wa makamo walikua wamepaki ndinga wanakula gambe na kuwanunulia wengine.
Kabla mechi ya Simba haijaanza yaan wameanza kula gambe tangu saa 6 inaenda saa 7 ni chupa vizibo vizibo...