Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitembelea na kukagua jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira linalojengwa katika Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma na kuzungumza na watumishi wa Ofisi.