Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.
Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.
Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na...