ujenzi wa msikiti chato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Rais Samia akubali kumalizia ujenzi wa Msikiti wa Masjid Al-Huda Chato

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassani, amekubali kuendeleza ujenzi wa msikiti mkubwa wa Masjid Al-Huda, ulianzishwa ujenzi wake na Hayti Dk. John Pombe Magufuli, wilayani Chato, mkoani Geita, unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni moja na nusu katika...
  2. PreGE2025 Chato: Waislam Chato wamuomba Rais Samia kusaidia ujenzi wa Msikiti wa Al-huda ulioanzishwa na Magufuli

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU wote Waislamu wilayani Chato Mkoa wa Geita wameiomba Serikali na wadau mbalimbali kusaidia kukamilisha ujenzi wa Msikiti wa Al-huda unaojengwa katika Kata ya Muungano wilayani humo. Ujenzi wa msikiti huo ulianzishwa kwa juhudi za aliyekuwa Rais wa awamu ya tano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…