ujanja wa madalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dalali akichukua pesa zaidi yako utakubali

    Mfano wewe unauza nyumba yako kwa milioni 10 umezunguka kutafta wateja mwaka mzima umekosa Ukaamua kutafta dalali ukampa Kazi ya kuuza Jioni ya siku hiyo anakuja na mteja na anainunua hiyo nyumba kwa milioni 100 dalali anatoa milioni 10 yako anakupa Kisha yeye anabaki na milioni 90 Je utakubali?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…