Huyu kaka ni mmoja kati ya Vijana ambao wameshitakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi ya Uhaini.
Hii picha imepigwa wakati anashuka kwenye Karandinga
Soma: Wengine 95 wapandishwa Kisutu jioni hii kwa Mashtaka ya Uhaini, idadi yafikia watuhumiwa 291 nchi nzima
Ukizoom hii picha utagundua kwamba...
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
====...
jeshi la polisi
maandamano ya oktoba 29
mahakama
mahakama ya kisutu
mahakamani
mashitaka
mfanyabiashara
nifferuhainiuhainiwaniffer
vurugu za uchaguzi
wengine